University of Dar es Salaam (Tanzania)

Universität von Dar es Salaam © Immanuel Harisch

University Partnership

Since 2002, there has been a cooperation between the University of Dar es Salaam and the University of Vienna. What started as a faculty agreement between the Institute of Kiswahili Studies and African Studies has developed into an all-university partnership. The Memorandum of Understanding was renewed in March 2020.

Students of the University of Vienna can study a semester at the University of Dar es Salaam within the framework of the Non-EU Exchange Programme. For information on application, deadlines, etc. please visit the homepage of the NON-EU Exchange Programme.

Contact: Dr. Daniela Waldburger, lic.phil I. (daniela.waldburger@univie.ac.at)

 

Swahili:

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania, Ushirikiano wa Vyuo Vikuu

Tangu mwaka 2002 kuna ushirikiano baina ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Vienna. Kile kilichoanza kama makubaliano baina ya Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili na Mafunzo ya Kiafrika kimekuwa ushirikiano wa vyuo vikuu vyote. Mkataba wa Maelewano ulifufuliwa mnamo Machi 2020.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Vienna wanaweza kusoma muhula katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kwa habari kuhusu kutuma ombi, tarehe za mwisho, n.k. tafadhali ona: 
https://international.univie.ac.at/studierendenmobilitaet/outgoing-students/non-eu-student-exchange-program/

Wasiliana na: Dk. Daniela Waldburger, lic.phil I. (daniela.waldburger@univie.ac.at)

Last activities

With Antidius Rweyongeza (UDSM)

Photo © Daniela Waldburger, 2023

 

February 2023:
Daniela Waldburger visited the head of the International Office of the University of Dar es Salaam, Mr. Antidius Rweyongeza, to talk about students exchange and further cooperation.

July 2022:
Daniela Waldburger visited the head of the International Office of the University of Dar es Salaam, Mr. Antidius Rweyongeza.

December 2021:
Selection of five students from the University of Vienna for an exchange semester in 2022/23.

February 2020:
Daniela Waldburger visited the International Office of the University of Dar es Salaam on the occasion of the renewal of the Memorandum of Understanding.

Swahili:

Shughuli za mwisho

Februari 2023:
Daniela Waldburger alitembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Bw. Antidius Rweyongeza, mkuu wa ofisi ya kimataifa ya UDSM.

Julai 2022:
Daniela Waldburger alitembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Bw. Antidius Rweyongeza, mkuu wa ofisi ya kimataifa ya UDSM.

Mwezi wa kumi na mbili 2021:
Uteuzi wa wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Vienna kwa muhula wa kubadilishana mwaka wa 2022/23.

Mwezi wa pili 2020:
Daniela Waldburger alitembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa kufufua Mkataba wa Makubaliano.